top
Je Umeshapata Barcode kwa ajili ya Bidhaa zako? Unangoja nini? ..... Gonga hapa kujua zaidi!    

 

       
   

In simple terms a bar code is a series of bars and spaces of varying widths, which can be read by a scanner. More than 200 different styles or languages (symbologies) were invented but only a handful are used regularly. They are code 39, ITF-Interleaved 2 of 5, code 128,  and GS1 standards. GS1 enables any product to be uniquely identified by a number any where in the world. 

GS1 TZ National LTD is authorised to provide GS1 Barcodes in Tanzania, You need to get a GS1 company prefix by contacting GS1 (TZ) National Limited and becoming a member by filling out a membership form. On becoming a member and paying the necessary membership dues you will be issued with a membership certificate containing an GS1 company prefix.

In general the GS1 Company Prefix comprises 6-10 digits depending on the need of the company.

    >>Read More        

  • 23rd February 2012.

Afisa wa Tanzania Breweries Limited, Bw. Kilindu akiongea baada ya Kukabidhiwa mfano wa Barcodes ambazo zitatumika kwenye bidhaa za TBL, Kulia ni Mkurugenzi wa Masoko wa Wizara ya Viwanda na Biashara Bw. Odil Majengo.... >> Read More

23rd February 2012.

Meneja wa Machozi Co. Ltd Gadna G. Habash akiwa ameshikilia CD ya Mwanamuziki Lady Jay Dee ambayo ina Barcode ya GS1. Lady Jay Dee anakuwa Mwanamuziki wa Kwanza kupata Barcodes.Kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) Bw. Godfrey Simbeye.... >> Read More

 
 

 

   

24th January 2012.

Kampuni ya GS1 (TZ) National Limited imeanzishwa kwa kusudio kubwa la kuweza kutoa huduma za Barcodes na teknologia nyingine zinazotewa na taasisi GS1 ulimwenguni, za kuendeleza biashara kimataifa na kitaifa. Imedhibitika kwamba chombo hiki, kabla ya kusajiliwa nchini,  wafanyabiashara wengi wa Tanzania walikuwa wakizifuata huduma za barcodes kutoka nchi za Kenya na Afrika ya Kusini. Chombo hiki kinasimamiwa na Mkutano Mkuu wa mwaka na Bodi ya Wakurugenzi.

Bodi ya GS1 (TZ) National Limited inapenda kuishukuru Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Wizara ya Viwanda na Biashara pamoja na taasisi zake hususani TIRDO, SIDO, TANTRADE na BRELA kwa jitihada ilizozionesha katika usajili wa kampuni ya GS1 (TZ) NATIONAL LIMITED. Vile vile shukrani hizo pia zizifikie taasisi nyingine kutoka Sekta Binafsi kama TCCIA, TWCC, TPSF, TAHA, CTI, TEA ASSOCIATION OF TANZANIA, na ZNCCIA  kwa namna  zilivyoweza kuchangia katika zoezi zima la kuhakikisha taasisi  ya GS1(TZ) National Limited inaanzishwa na kusimama imara  kwa ajili ya maendeleo ya nchi  ya Tanzania. Soma Zaidi Hapa

Please select your language
Subsaharan
Visitors

Free Counter
 

login

All Rights Reserved |GS1 (TZ) NATIONAL LTD – Dar Es Salaam P.O. box 2476, Dar es salaam - Tanzania, Tel: +255 22 2150118, Fax: +255 22 2151016
Email: info@gs1tz.org, Website: www.gs1tz.org I Contact Webmaster